Hosea 11:12

Dhambi Ya Israeli

12 aEfraimu amenizunguka kwa uongo,
nyumba ya Israeli kwa udanganyifu.
Naye Yuda ni mkaidi dhidi ya Mungu,
hata kinyume cha yule mwaminifu Aliye Mtakatifu.
Copyright information for SwhNEN